Back to Videos

Sakaja’s Powerful Speech! Governor Addresses Muslim Women Forum With a Strong Message

Politics
Nov 27, 2026 Jacob Aluvanze

In a video from Kenya Digital News, KCC haijawahi kung'ara hivi tangu tangu sijui lini mnaka poa sana kumerembeka sana na mimi najua najua mnajua nawadhamini sana nawadhamini mimi nawapenda kwa roho yangu nawapenda sana. Mlinichagua niwe senetor wenu 2017 na hiyo 2017 mlinichagua bila kuangalia bila kuangalia mambo yoyote. mlichagua mtoto wenu wa Kanairo. Asanteni sana 2022 pia mkafanya hivyo mkanichagua niwe gavana we.

Analisha watoto wenu ama hampati dishi watoto wanakula kwa pesa ngapi kwa shilingi ngapi kwa shilingi ngapi iendelee ama isiendelee iendelee tuendelee ama tusiendelee tuendelee Sijui kama wamama wanapenda dish na. Nitawalisha pia si zile jikoni ziko mtaani mnaziona si nimezijenga si wapishi wako basi so from january dishi inaenda kwa secondary schools watoto wetu pia wapate dishi na kaunti katika shule.

Uniform. Na tuko na college zetu za kaunti. Tuko na Dandora, tuko na kiwanja kule Roisambu, tuko na Makadara. Hao ndio watashona hizo uniform za watoto wetu ili kila mtoto apate seti zake kadhaa. Mama usiwe. Jameni pale walitoka hapako pazuri najua kila mtu hajapata na nimesikia women rep akisema anatumai hiyo program iende zaidi tutakisha iende zaidi tumejenga masoko ili watu wauze kwa mahali pana hadhi na heshima wangapi.

Na nikamwambia si alisema eh unajua siku hizi mambo iko live mambo live live live live alitoa ngovu kobole kobole sasa hiyo si hiyo ni ya kutumwa eh si ndio hiy Eh na sasa si nimekuja mwenyewe. Na najua A hiyo pesa iko hapa mahali. Ndio hiyo mnanipata? Yes. Nusu milioni 500,000 DJ DJ Wamama si mnapendwa? Si mnapendwa? Makofi ya party leader. Makofi ya party leader wetu na makofi ya gavor Gladis.

Video: Kenya Digital News. https://www.youtube.com/watch?v=6M8OJLLxMHU